samahani wanajukwaa naomba ushauri, nlifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate combination ya HGK mwaka jana matokeo ya ngu nlikuwa nna III ya point 13 ingawa GS nlipata F naombeni ushauri ninaweza kupata chuo endapo ntafanya selection au itanlazimu kufanya mtihani pia wa GS naombeni ushauri.
hata hiyo form v una ulizia selection!chuo lazima upate mfano usinge kuwa na f ungekuwa na 2
Naelewa kwasababu kama naenda form five lazima nifatilie hata mambo ya f6