Ushauri wa mazoezi na diet

Mazoezii jameni ni simpo.. Kuwa na ratiba ya kukimbia kwa wiki Mara 3 ni silaha kubwa Sana kudhibiti uzito

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Safar kubwa ni Kuanza tu kama mm sahiv mazoez haiwez pita siku 3 sijafanya

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli huwezi kupunguza 15kg kwa miezi nane tu, haiwezekani labda kama ulipelekwa jela, eti kwa diet tu na mazoezi kidogo you are absolutely lying
 
Acha kula wanga kabisa??? Uko serious kweli?
 
Sio kweli huwezi kupunguza 15kg kwa miezi nane tu, haiwezekani labda kama ulipelekwa jela, eti kwa diet tu na mazoezi kidogo you are absolutely lying
Miezi 8 mingi sana, unaweza kupunguza hata kwa miezi mitatu hizo kilo 15 inategemea na determination na lifestyle yako, kwenye kupunguza kilo Kuna watu wanafanya diet Kama vichaa, watu wanapiga water fasting wiki nzima, unategemea hizo kilo zisipungue? Ila kiufupi kupunguza kilo ni kazi ngumu sana ila usiseme haiwezekani
 
Kupunguza si kazi ngumu kama ku maintein weight
 
Acha kula wanga kabisa??? Uko serious kweli?
Inawezekana.
Niliwahi fanya jukumu la kumsimamia na kuandaa chakula cha mtu alotaka kupungua kwa mwezi mzima.

Matokeo yalikuwa makubwa na mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…