Ushauri wa mkataba

Ushauri wa mkataba

Joined
May 20, 2015
Posts
74
Reaction score
44
Habari wakuu,

Ninataka kuuza biadhaa yangu(machine ya umwagiliaji) yenye thamani ya Tsh 3 millions.Sasa makubaliano yetu ni kwamba watanilipa pesa nusu na nyingine watamalizia kulingana na muda nitakaowapa.

Sasa naomba ushari wa procedure gani muhimu za kufata kama angalizo ili kujiepusha na chochote kibaya kinachoweza jitokeza.

Ahsante
 
Back
Top Bottom