Ushauri wa Mkuu wa Majeshi ufanyiwe kazi!! Wagombea hasa kupitia wachunguzwe uraia wao

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Nimeitaja CCM kwa sababu wengi wao uitumia CCM Kama Daraja kwa sababu awafatiliwi wakiwa CCM.

Kuna watia Nia hasa ndani ya chama Cha mapinduzi wa ubunge na udiwani sio raia wa Tanzania

Naomba mamlaka ya uhamiaji iwachunguze watia nia wote

Kwani Hawa ni watu muhimu Sana kwenye ulinzi na usalama wa Taifa ili

Pia nashauri CCM ichuje watu ambao sio raia wa Tanzania ambao tayari wapo serikalini

Wengi wao ni wabunge na mawaziri wa Sasa

Bungeni ni Kama Ikulu ni mahali patakatifu!

Uhamiaji fanyeni kazi yenu mwaka huu Fateni ushauri wa Mkuu wa majeshi.
 
Shughulika na NRNE we tutusa
 
Kizimkaz
Doto
Mipango
Na zaidi ya jw 3500 sio wabongo na wana dominate huo ndoo ubaya zaidi
 
Back
Top Bottom