spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Hi wanabodi,
Kipi kinamfaa mstaaf wa kitz afanye ili asitegemee watu kumsaidia,
Nina mstaafu, kaanzisha biashara mara tatu kashindwa, nilimtrain awe na consistency ktk biashara, lakini kashindwa, juzi kaniambia kweli naona biashara siwezi hata sijui nifanyeje kila nikianza zinakufa, nilishamfundisha njia za biashara nk, lakini nahisi kwakuwa ni mtu mzima anakuwa anachoka kwahiyo naona kama anashindwa kumanage vizuri, juzi alichosema anafikiria aweke pesa kidogo aliyonayo fixed ac basi, ingawaje naona fixed acc kama kafaida ni kadogo sana, wewe unamshauri vipi huyu mzee jamani...
Asante