Ushauri wa nini cha kufanya kwa mstaafu wa kitz

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Hi wanabodi,
Kipi kinamfaa mstaaf wa kitz afanye ili asitegemee watu kumsaidia,
Nina mstaafu, kaanzisha biashara mara tatu kashindwa, nilimtrain awe na consistency ktk biashara, lakini kashindwa, juzi kaniambia kweli naona biashara siwezi hata sijui nifanyeje kila nikianza zinakufa, nilishamfundisha njia za biashara nk, lakini nahisi kwakuwa ni mtu mzima anakuwa anachoka kwahiyo naona kama anashindwa kumanage vizuri, juzi alichosema anafikiria aweke pesa kidogo aliyonayo fixed ac basi, ingawaje naona fixed acc kama kafaida ni kadogo sana, wewe unamshauri vipi huyu mzee jamani...

Asante
 
KCB Wana riba kubwa anaweza pata ya kumsogeza kila mwezi,ila muonye asije kutana na watu wa QNET
 
Hahaha, network marketing tz ni janga la kitaifa, tatizo nililogundua wengi wanapenda miteremko,akiambiwa ukijiunga na kuleta watu sijui wangapi unapata pesa mtu anakuwa interested bila.kufanya utafiti kwanza,then anaishia kujuta baadae[emoji1]
 
Hi wanabodi,
Kipi kinamfaa mstaaf wa kitz afanye ili asitegemee watu kumsaidia,
Nina mstaafu, kaanzisha biashara mara tatu kashindwa, nilimtrain awe na consistency ktk biashara, lakini kashindwa, juzi kaniambia kweli naona biashara siwezi hata sijui nifanyeje kila nikianza zinakufa, nilishamfundisha njia za biashara nk, lakini nahisi kwakuwa ni mtu mzima anakuwa anachoka kwahiyo naona kama anashindwa kumanage vizuri, juzi alichosema anafikiria aweke pesa kidogo aliyonayo fixed ac basi, ingawaje naona fixed acc kama kafaida ni kadogo sana, wewe unamshauri vipi huyu mzee jamani...

Asante
FOREX inalipa
 
Fuga samaki kibiashara. Hii hata haimpi stress. Yeye ni kuwalisha tu na baadye kuvuna.
 
Biashara nazani ni kama mchezo wa mpira wa miguu kuna sehemu ukipita katika makuzi yako huja cheza hata kidogo ukubwani hata ufanyaje huta weza kupiga hata danadana tatu mana viungo vishakomaa tayari... Biashara n hivyo hivyo kama alipo kuwa kazini hakuwa hata na biashara zake pembeni za kuziendesha n ngumu sana kwake kufungua biashara kipindi hiki alicho staafu na akaiendesha kwa faida na dhana kubwa waliyo nayo watu wengi wasio katika biashara wana amini wakifungua biashara basi hapo hapo wana anza kupiga hela wakija field wakikaa siku mbili bila kuuza wana anza presha na kufikiria kufunga biashara.. Biashara ina mambo mengi kuna fitina za biashara wewe una kuja na hela yako una fungua biashara moja na mshindani unaye mkuta hapo kisa umeona ana uza sana mwenzio ana dadisi bei unayo uza akiipata ana punguza kidogo bei na anatoa zawadi juu kwa mteja iwe ya usafiri au pipi kwa watoto etc.. Baada ya mda lzm ufunge tu bzness.. Nn afanye mwambie aangalie vijana wake yupi ana uelekeo wa biashara arf aanze kumuwezesha taratibu taratibu yeye kwa umri wake nazani atateseka huku field..au ajenge nyumba apangishe awe ana kula kodi NOTE: mawazo yangu sio sheria naweza kuwa sawa pia naweza nisiwe sawa
 
Umeongea kweli tupu yani..
 
Maana ya kustafu ni kwamba tiyari nguvu zimeisha za kufanya kazi ba muda ulio bakia ni kupumzika.

Huo muda miaka yote je hakuna Ujasirianali ni muhimu?

Kwa sasa alipaswa kukaa na kula.pension yake taratibu bila wasiwasi.
 
Biashara nazani ni kama mchezo wa mpira wa miguu kuna sehemu ukipita katika makuzi yako huja cheza hata kidogo ukubwani hata ufanyaje huta weza kupiga hata danadana tatu mana viungo vishakomaa tayari... Biashara n hivyo hivyo kama alipo kuwa kazini hakuwa hata na biashara zake pembeni za kuziendesha n ngumu sana kwake kufungua biashara kipindi hiki alicho staafu na akaiendesha kwa faida na dhana kubwa waliyo nayo watu wengi wasio katika biashara wana amini wakifungua biashara basi hapo hapo wana anza kupiga hela wakija field wakikaa siku mbili bila kuuza wana anza presha na kufikiria kufunga biashara.. Biashara ina mambo mengi kuna fitina za biashara wewe una kuja na hela yako una fungua biashara moja na mshindani unaye mkuta hapo kisa umeona ana uza sana mwenzio ana dadisi bei unayo uza akiipata ana punguza kidogo bei na anatoa zawadi juu kwa mteja iwe ya usafiri au pipi kwa watoto etc.. Baada ya mda lzm ufunge tu bzness.. Nn afanye mwambie aangalie vijana wake yupi ana uelekeo wa biashara arf aanze kumuwezesha taratibu taratibu yeye kwa umri wake nazani atateseka huku field..au ajenge nyumba apangishe awe ana kula kodi NOTE: mawazo yangu sio sheria naweza kuwa sawa pia naweza nisiwe sawa
Well said
 
Hi wanabodi,
Kipi kinamfaa mstaaf wa kitz afanye ili asitegemee watu kumsaidia,
Nina mstaafu, kaanzisha biashara mara tatu kashindwa, nilimtrain awe na consistency ktk biashara, lakini kashindwa, juzi kaniambia kweli naona biashara siwezi hata sijui nifanyeje kila nikianza zinakufa, nilishamfundisha njia za biashara nk, lakini nahisi kwakuwa ni mtu mzima anakuwa anachoka kwahiyo naona kama anashindwa kumanage vizuri, juzi alichosema anafikiria aweke pesa kidogo aliyonayo fixed ac basi, ingawaje naona fixed acc kama kafaida ni kadogo sana, wewe unamshauri vipi huyu mzee jamani...

Asante
Dah.... Hivi kustaafu maana Yake nini? Mwambie ale bata tu alizozikosa kwa kubanwa na kazi.....aache ujinga[emoji41]
 
Back
Top Bottom