Chadema hamjaamka?
[/QUOTEchadema inaingiaje ewe mfia dini wa kikobazi?
Ndio maana dunia migogoro na haki zimekuwa zinakiukwa kwa wingi?Huu ndio mfumo wa dunia nzima, ni ngumu kuutoa. Ni mfumo unaotawala nyanja zote za maisha ya binadamu, mtaufuata tu kwa kupenda au kutopenda
acha ujinga, unadhani dini yako ndiyo itaifanya dunia iwe paradiso?Ndio maana dunia migogoro na haki zimekuwa zinakiukwa kwa wingi?
acha ujinga, unadhani dini yako ndiyo itaifanya dunia iwe paradiso?Ndio maana dunia migogoro na haki zimekuwa zinakiukwa kwa wingi?
Umemskiliza vizuri? Au umemuelewa? Au bado upo baa haujakutoka?Sheikh analeta harakati za siasa za kidini, anataka uislam ndio uwe itikadi ya kisiasa kuongoza nchi. Hii nchi si ya kidini aachane na fikra hizo za kijinga
Ndio maana ubabe, ukatili duniani umekuwa mkubwa?acha ujinga, unadhani dini yako ndiyo itaifanya dunia iwe paradiso?
?????Sheikh yupo sahihi kabisa. Hii Zanzibar kama Nchi kamili ina mambo yake yaso ya Muungano feki na ina haki yake kuyasimamia ati. Huu mfumo wenu pelekeni vigangoni huko