Ushauri wa Sheikh kwa mwanasheria mkuu wa serikali, atetea matibabu kwa Wazanzibari

Ushauri wa Sheikh kwa mwanasheria mkuu wa serikali, atetea matibabu kwa Wazanzibari

Ni ujinga mkubwa suala lilobuniwa na kusemwa na waziri wa Zanzibar ambaye ni Mwislamu' kisha likanasibishwa na mfumo KRISTO

Huu ndio upumbavu sasa

Hivi' huyo Kristo kawachukilia nini nyinyi mbona hatoki vinywani mwenu? Shwain kabisa

Kwani Tanganyika ina bajeti ya Wazanzibar? Mbona wanatibiwa kwenye mahospital yetu huku Tanganyika kwa bima zisizo za Zanzibar?
Rais wa Tanganyika anaitwaje? Rais wa Zanzibar ni Dkt Hussein Mwinyi
 
Back
Top Bottom