FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
Shukran anapatikana sehemu gani huyuMtafute huyu mwamba +255 785 929 395 na umwambie namba umepata kwa "Marvel"
Ukitaka simu hata custom made (ije na kasha la dhahabu etc) huyu jamaa ata deliver
Direct upgrade ya simu yako ni A56 5G version ya 256GB ni around 900k hivi.Salaam Wakuu,
Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000].
Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda.
Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa mdau wa samsung kwa miaka 14 sasa.
Kazi zangu sana sana ni streaming, na mpakuaji wa movies sana yaani kwa ujumla heavy internet user.
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa Reuben Challe
VIVO sio simuDirect upgrade ya simu yako ni A56 5G version ya 256GB ni around 900k hivi.
Kama unataka kubadili upepo simu nyengine ambayo ni nzuri all around ni Vivo V series zao kama V40, V50, V60 etc nazo bei zake ni around 1m na official zipo Tanzania.
Alternative ni Nothing 3A series sema hizi hazipo official ila watu wanauza Tanzania.
Toa sababuVIVO sio simu
Over
Shukrani, Je ikiwa nataka option ya flagship za miaka ya nyuma ni simu gani itanifaa,japo hofu ni kuvwa kwa hizi used na refurbDirect upgrade ya simu yako ni A56 5G version ya 256GB ni around 900k hivi.
Kama unataka kubadili upepo simu nyengine ambayo ni nzuri all around ni Vivo V series zao kama V40, V50, V60 etc nazo bei zake ni around 1m na official zipo Tanzania.
Alternative ni Nothing 3A series sema hizi hazipo official ila watu wanauza Tanzania.
Mkuu lete madini, ni kwa niniVIVO sio simu
Over
Tafuta Xiaomi 14T au Xiaomi 14T Pro ndio best kwa bei hiyoSalaam Wakuu,
Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000].
Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda.
Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa mdau wa samsung kwa miaka 14 sasa.
Kazi zangu sana sana ni streaming, na mpakuaji wa movies sana yaani kwa ujumla heavy internet user.
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa Reuben Challe
Tafuta Samsung Galaxy S23 plain, ni nzuri sanaShukrani, Je ikiwa nataka option ya flagship za miaka ya nyuma ni simu gani itanifaa,japo hofu ni kuvwa kwa hizi used na refurb
Hujui unaloongea. Toa sababu kwa nini Vivo sio simuVIVO sio simu
Over
Ni S23 sema hizi flagship za zamani tatizo zinatoka mistari, S23 haieleweki, pengine tatizo likawa sio kubwa kama S22 ila lipo.Shukrani, Je ikiwa nataka option ya flagship za miaka ya nyuma ni simu gani itanifaa,japo hofu ni kuvwa kwa hizi used na refurb
Shukrani sana Chief, wacha niingie sokoni.Ni S23 sema hizi flagship za zamani tatizo zinatoka mistari, S23 haieleweki, pengine tatizo likawa sio kubwa kama S22 ila lipo.
Komaa na hizi flagship killer, nyingi zina display za midrange hivyo hazijaathiriwa na hilo tatizo.
Flagship za mwaka jana kama S24 series sijasikia hili tatizo ila nyingi naona kama budget yake itazidi kidogo kama unanunua mpya.
Unaibukia iphone ngapi, binafsi kila nikiataka ku switch to ios nashindwa kabisa.Mimi nataka nihamie kwenye iPhone sasa
Yaani first impressions matters naona,simu yangu ya kwanza ilikuwa ni samsung na tangu hapo sijawahi kuhama kabisa kila nikijaribu kufurukuta najikuta kwa wakorea tuUsihame samsung, utajuta