FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
- Thread starter
-
- #21
Shukran Reuben, nilipita mwaka huu mwanzoni pale Hasstech, kuna namna finish ya nje ya simu za Xiaomi hazikuniridhisha, Ngoja nizione hizi sifa zake. Again nashukuru kwa ushauri.Tafuta Xiaomi 14T au Xiaomi 14T Pro ndio best kwa bei hiyo
Kama unataka midrange za karibuni nunua Samsung Galaxy A56
Lakini pia unaweza kupata Samsung Galaxy S23 (ile plain sio Ultra) ambayo ni bora kuliko zote hapo juu isipokuwa yenyewe imetoka mwaka 2023
Ndio Mkuu kila mdau ana mchango muhimu sana, karibu kwa mapendekezoJe na sisi tunaotumia infinix tunaruhusiwa kuchangia maoni au ndo maskini Hana Cha kumshauri tajiri
Pamoja sana A56 all the way. Ngoja niingie gsm arena kuona abc zakeSamsung A56 ndio chaguo sahihi kwako.
Ukizoea software ya samsung ONE UI, utaboreka sana siku ukitumia simu zingine ambazo sio za samsung
Hakika twawasubiri
Angalia charts za simu kali top 20 uone kama livivo linaingiaHujui unaloongea. Toa sababu kwa nini Vivo sio simu
Nimepita posta leo, kuangalia simu za Samsung A56, kwenye maduka ya wahindi,
Wanasema A56 original haina esim, wanadai esim ipo kwenye S series peke yake. Wataalamu hebu tufungueni macho
Lakini pia kuna toleo ambalo halina? Coz hizi nlizoona leo ni toleo la vietnum
Inayo Esim,
Inayo e sim mimi nilinunua african version na una e sim.Nimepita posta leo, kuangalia simu za Samsung A56, kwenye maduka ya wahindi,
Wanasema A56 original haina esim, wanadai esim ipo kwenye S series peke yake. Wataalamu hebu tufungueni macho
Probably mkuu, maana most of time Gsmarena wanaweka specs za International version.Lakini pia kuna toleo ambalo halina? Coz hizi nlizoona leo ni toleo la vietnum
Nina S21 FE nilinunua 2022 sasa hivi ina mistari miwili katikati sijui inasababishwa na nini kwa sababu hata sikuidondosha ilitokea tu.Ni S23 sema hizi flagship za zamani tatizo zinatoka mistari, S23 haieleweki, pengine tatizo likawa sio kubwa kama S22 ila lipo.
Komaa na hizi flagship killer, nyingi zina display za midrange hivyo hazijaathiriwa na hilo tatizo.
Flagship za mwaka jana kama S24 series sijasikia hili tatizo ila nyingi naona kama budget yake itazidi kidogo kama unanunua mpya.
Ni S23 sema hizi flagship za zamani tatizo zinatoka mistari, S23 haieleweki, pengine tatizo likawa sio kubwa kama S22 ila lipo.

Ni tatizo la mkanda mkuu, ni tatizo linajulikana na watengeneza simu wame admit, matengenezo pia ni bure issue ni hizi simu za refurb Samsung hawawezi zikubali. Ila kama ni Samsung ya Africa then wafuate Samsung wakubadilishie.Nina S21 FE nilinunua 2022 sasa hivi ina mistari miwili katikati sijui inasababishwa na nini kwa sababu hata sikuidondosha ilitokea tu.
Asante sana mkuu.Nimejaribu kuwasiliana na Samsung lakini hawanipi majibu.Ni simu original kabisa sikununua za mtumba.Ni tatizo la mkanda mkuu, ni tatizo linajulikana na watengeneza simu wame admit, matengenezo pia ni bure issue ni hizi simu za refurb Samsung hawawezi zikubali. Ila kama ni Samsung ya Africa then wafuate Samsung wakubadilishie.
Kama una solve mwenyewe tafuta vioo vya kichina ambavyo sio OG.
Hakuna simu hapaGalaxy A56
Usijali mkuu Mungu atakujalia one day utauvaa ukwasi na ku sort mambo makubwa na madogo bila tabu yoyoteDah jamaa utakuwa na ukwasi wa kutisha,simu 1M,sisi masikini tukijipanda sana mpaka tukalala njaa kwa kununua simu,huwa tunakuwa tumetoa 250,000/=
AmeenUsijali mkuu Mungu atakujalia one day utauvaa ukwasi na ku sort mambo makubwa na madogo bila tabu yoyote