Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

Nilivumilia ndoa kupita maelezo nilipoona kuwa sasa naweza kufa hapa nilifungua mdomo na watu walinililia kwa huruma na niliamua kusema NO capital letter undeline na kwa kwli baada ya mapambano fulani hivi aliitoa talaka sasa nini amani nimepat mwingine na tunaishi kw usalama na watoto wapo kote tu na wanalelewa vizuri na kila mmoja huwa tunawagombea kuwahudumia ingawa ss wenyewe bado hatujaanza kuongea ni miaka mitatu sasa,mali tuligawana kila mtu na hamsini zake.Nilikuwa naamini siwezi kuishi bila yy kumbe ni mkamilifu kabisaaa najitegeme na nasimamaia ninachoamini cha muhimu najichunga na vya watu,simdhulumu mtu akaa niko powa,

Na wahusia wengine ambao uvumilivu ni zaid ya maumivu mjiokoe watoto watakua hao cha muhimu ni kumonitor mamabo yao nawe ujipe raha japo kidogo, mkingoja kupewa raha mtapimiwa kidogo tu zaidi zaidi mtapewa karaha,mie akaa anaenipa karaha kamwe simpi raaaha.

[QUOTE
=The Boss;2707869]ambacho wanawake wengi hawajui ni kuwa
wanaume hatuwaheshimu wanawake wanaovumilia upuuzi wetu...
tunawaheshimu wale wenye guts za kusema 'tuachane'.....[/QUOTE]
 
Unadhani ni busara kujadili matatizo ya ndoa before marriage; What for? get prepared?

ungefuatilia kwa nini wanasheria wanasisitiza watu waandike
urithi wa mali zao kabla hawajafa...ungeelewa why ni muhimu
kuwa prepared na kila kitu in life....
 
Gaijin turudi kule kwa Atheist lol!!!
 

kwa sasa wengi wanauliza sheria kama sehemu ya kumkomoa mwenza na si kwa ajili ya faida ya watoto.. ila kuna wengine wanandoa hukaa na kuamua kupanga nini kifanyike baada ya wao kuachana ikiwemo kugawana majukumu kwa suala zima la malezi ya watoto
 
Lets say magomvi ndani y ndoa ni detrimental kwa wanandoa, watoto (kama wapo) na kwa familia...psychologically, physically and otherwise. Failed marriage is dangerous and evil. Divorce on the other hand, while it is detrimental physiologically, economically, and socially, it is, however, in some circumstances, a necessary evil. Tunapoumwa kwa mfano, tunapewa drugs such as antibiotics, which are strong. What many don't know is that while these drugs relieve pain and end the infection, in a long run, these chemicals are deposited in liver and kidneys to develop into deadly lumps...so talaka is both good and evil kama ilivyo kwa ndoa..it can be a blessing but it can also be a curse. Bora kuelimisha jamii juu ya ndoa na talaka...maana talaka ni reality katika jamii yetu sasa and it is a necessary evil
 
hayo yote uliyoyaeleza kuna wadada hapa jf yanawakuta
na ukiwashauri 'talaka ' tu...mnagombana.......

kuna mdada namfahamu
nae alikua anaona talaka haifai
akageuzwa punching bag daily kipigo
kilipomkolea akanyanyua mikono .....akasepa
na watoto alimwachia mwanaume(kinadada mtaona alikua na roho ngumu eeeeh?) maana alienda kuanza upya maisha
leo yupo mbaaaali kiuchumi, ana mwenza moya ( kama wamelana au bado sijui) ana watoto 2 plus 3 alozaa na mumewe wa mwanzo,
watoto wanamtembelea, mume yupo happy na mwrnza mwingine na mke pia.
Wanatembeleana kujua maendeleo ya watoto.....
 

asante sana G....maneno ninayopitia kwa kufanya hivi ni kibao, "huyu mwanamke atakukimbia cku moja"....kwanini viwe vyake vicwe vyenu?....hapo mwanaume yeye ana vyake nilivyomkuta navyo lakini cjawahi hata kuuliza kodi zake zinaenda wapi, mie binadamu wananiambia ninavyofanya sio vzr nilivyonavyo vinatakiwa viwe na jina la mr&mrs, vyake vibakie "MSUKUMA".....cjui nilaumu jamii cjui nilaumu mfumo cjui sheria..aghhh
 

ndo maana kuna PRE NUPTIAL AGREEMENT nchi zingine
ni bora na TZ ikapiganiwa iwepo
 
ishu sio mali
ishu ni kuepusha 'watu kutofikia maamuzi'
wanapokuwa kwenye mgogoro na hawawezi kuzungumza tena
umewahi kusikia kitu kinaitwa 'PRE NUPTIAL AGREEMENT ..??????

mkuu wengi huangalia mali na hasa mnapopiga hatua kimaisha .. na kwa vile hatuna utamaduni wa kuongea na wenza wetu tatizo linapotokea huwa tunakimbilia kuomba usuruhishi hata kama halijafikia level hiyo matokeo yake mmoja wa wahusika atabaki na kinyongo .. lakini kama wanandoa wangekuwa wanaweza kuongea au hata kujadili mustakabali na mmoja akakubali kujishusha na kuamua kubadilika ndoa nyingi zingedumu ..

ndoa nyingi zinakuwa na uwalakini kwa kuwa wengi wanaingia kwenye ndoa hawajajiandaa au kwa msukumo wa kutangaziwa ndoa au kwa vile mhusika anapatikana anapohitajika au mwenza ni mjamzito .. hii inapelekea ndoa nyingi kutokudumu hata miaka 5
 

Way to go Nyamayao....I'm proud of you :]

Hujakosea hata kidogo, jamii yetu sisi imekaa kimfumo dume mpaka inakirihisha. Na tatizo hasa ni kuwa wanawake wengi tunakubali na tumeuridhia huo mfumo dume kiasi cha kuwa anapotokea mtu akafanya vyenginevyo ni kosa.

Una haki ya kuwa na mali zako, na yeye ana haki na kuwa na mali zake, na kama wana ndoa mnaweza kuwa na mali za pamoja. Sheria za nchi (nchi za nje) zinaruhusu sana hali hiyo na baadhi ya dini sheria zao pia zinaruhusu.

Muhimu ni kujiridhisha wewe na sio jamii, hii jamii tuliyo hawaridhiki hata kidogo anyway
 
ndo maana kuna PRE NUPTIAL AGREEMENT nchi zingine
ni bora na TZ ikapiganiwa iwepo


wacha 2 Boss...mwenzangu kawekeza kila kona huko kwao, bado mikoani, nilivyomkuta navyo na anavyoendelea navyo cna usemi, juzi juzi ndio nimeona baadhi kaandikia wanae, cna neno, mie vyangu nimeamua vibakie "NYAMAYAO"...jamii sasa...familia je? aisee mhhh.....coz ni mwanamke bac anaambiwa akushirikishe huyo, akifa leo utajuaje mali zake ni zipi na zipi na nani atazimiliki......hapo ndio wanaponimaliza aisee.
 

Kuna mtu nilikuwa nazungumza nae akanambia yeye alinunua kiwanja kabla hajaolewa. Walipooana nyumba wakajenga pamoja ama kwa kujibana nyumbani na nyengine kila mmoja akitoa kutoka mfukoni mwake mwa mshahara. Yule Bwana kwenda kuandikisha tittle deed kaweka jina lake TU, mwanamke akimuuliza anakuwa mkali (wakati yeye amejenga nyengine kijijini kwao kwa jina lake pia)

Sasa hapo haki iko wapi? Tuseme mume akifa wale ndugu wa mume watamchukuliaje mwanamke akisema kuwa nae pesa yake ilihusika kwenye nyumba?

Ni time kwa wanawake kujua haki zao na kuzidai haraka sana (tukiambiwa hatuna mapenzi ya kweli potelea mbalini)
 
Kwa mitazamo hii ya ndoa ni bora mtu awe single. Maana ndoa imegeuka uwanja wa mapambano na kila mtu anajihami in one way on another.
 
Kwa mitazamo hii ya ndoa ni bora mtu awe single. Maana ndoa imegeuka uwanja wa mapambano na kila mtu anajihami in one way on another.

Uwanja wa mapambano umekusudia vipi?

Mwanamke kudai haki ya kumiliki mali kama mwanamme alivyo na haki hiyo ndio 'mapambano' yenyewe au?
 
Kwa mitazamo hii ya ndoa ni bora mtu awe single. Maana ndoa imegeuka uwanja wa mapambano na kila mtu anajihami in one way on another.

nafikiri wewe huelewi jambo moja....
binadamu akiwa 'in love' na akiwa 'out of love'
ni watu wawili tofauti
so bora hatua za tahadhari ziwepo mapema....after all love is blind sio??????
 
True love is blind. But when you start calculating how you are gonna divide your property after divorce; jinsi gani mtafanya mkiachana; hapo hakuna blindness na nachelea kusema hata hiyo ndoa haija base kwenye love at first place. Yaani jamaa anapropose afu mnakaa kudiscuss divorce na mgawanyo wa mali; hiyo itakuwa ndoa ya love au business? Sishangai maana nasikia watu siku hizi wanaoana kisanii

nafikiri wewe huelewi jambo moja....
binadamu akiwa 'in love' na akiwa 'out of love'
ni watu wawili tofauti
so bora hatua za tahadhari ziwepo mapema....after all love is blind sio??????
 

G...leo unanishika pabaya! hapa na ukabila unaingia (mchaga yule)...inackitisha sana, mie cfanyi haya kwa kuhofia huko mbeleni cjui mali zake au cjui migogoro ya familia baadae coz ya mali, nafanya kivyangu, kashamba ka urithi nako nikabadili kawe mr&mrs?....ka trekta ka kulimia huko kjjn nako ukaandike mr&mrs? kuna mambo ya ajabu sana kwenye hii jamii ye2, ukifatilia kila nucta umekwisha, watu tumeolewa na jamii na sio mume wako.
 

sio ndoa zote watu wanakutana college na kuchumbiana
kuna ndoa zingine mtu anaongoza kampuni ya familia yenye ndugu kibao
wewe mwanamke unaolewa,akifa ghafla huyo mtu?unajua haki zako ziko vipi?
ndugu wakikwambia huna chako?
sipendi hiyo hali imkute dada yangu wala ndugu yangu wa kike yeyote
so ni bora hayo mambo yajadiliwe mapema,ikiwezekana kwenye maandishi na mwanasheria juu...
unasema mali ni za watoto,je usipopata hao watoto je???ndo huna haki?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…