Nilivumilia ndoa kupita maelezo nilipoona kuwa sasa naweza kufa hapa nilifungua mdomo na watu walinililia kwa huruma na niliamua kusema NO capital letter undeline na kwa kwli baada ya mapambano fulani hivi aliitoa talaka sasa nini amani nimepat mwingine na tunaishi kw usalama na watoto wapo kote tu na wanalelewa vizuri na kila mmoja huwa tunawagombea kuwahudumia ingawa ss wenyewe bado hatujaanza kuongea ni miaka mitatu sasa,mali tuligawana kila mtu na hamsini zake.Nilikuwa naamini siwezi kuishi bila yy kumbe ni mkamilifu kabisaaa najitegeme na nasimamaia ninachoamini cha muhimu najichunga na vya watu,simdhulumu mtu akaa niko powa,
Na wahusia wengine ambao uvumilivu ni zaid ya maumivu mjiokoe watoto watakua hao cha muhimu ni kumonitor mamabo yao nawe ujipe raha japo kidogo, mkingoja kupewa raha mtapimiwa kidogo tu zaidi zaidi mtapewa karaha,mie akaa anaenipa karaha kamwe simpi raaaha.
[QUOTE
=The Boss;2707869]ambacho wanawake wengi hawajui ni kuwa
wanaume hatuwaheshimu wanawake wanaovumilia upuuzi wetu...
tunawaheshimu wale wenye guts za kusema 'tuachane'.....[/QUOTE]