Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

Kawaida wanawake ulaya wako fast ku-divorce over cheating, but tumeona kwa Dominique Struss Khan, Bill Clinton na wengine kua kuna wakati the best interest ya muhusika ni kubaki kwenye ndoa hiyo... So hata Michelle hawezi kuwahi ku-divorce if her interest is against it. Na kwa mila yetu, your interest is to display a succesful mariage, even if it is not. Na kama watu wote wamesha ona you are not happy, ni bora dying while trying kuliko quiting. that is because of our culture, and the way systeme imewaweka wanawake in general. But if you set yourself free from the system, unaweza kujua kwa ukweli what is best for you, and apply it.
 
kama nipo wrong,samahanini ila kwa malezi niliyokulia mimi,kama hamuwezani,mmejaribu vya kujaribu,divorce is the best option.mama alikuwa single mum,kwa niliyoyashuhudia bora alivyokuwa single mum,kuliko maudhi yaliyokuwepo ndani.nilikuwa soo happy,baba yetu alivyokuwa hayupo mimi pamoja na dada zangu.akiwepo baba tu,matatizo kibao ndani.ingawa mama hakupewa talaka,ila dissapear ya baba ni talaka tosha.matatizo yake ni yes,mnakuwa hampo close na baba.but is ok kwani sio makosa yetu,kwa baba,majuto uzeeni.at the end,unasamehe na ku move on
 
Mungu hapendi kuachana, kwa nini mie nishabikie kuachana? mie ni nani mbele ya Mungu? tunaachana basi tu ila Mungu hapendi labda umfumanie mwenzako anazini au kashindwa kukupa unyumba...mengine ni ya kawaida sana
 

Hilary had a 'reason' not to divorce Bill. She had her eyes set on the White House. It would have been massively difficult for her to mount a serious run at the nomination for presidency in the manner that she did had she been a divorcee.

We all saw what she was up against - the blatant sexism. Now picture her as a divorcee running to be the POTUS. The mainstream American media would have had a field day with her marital status.

My hunch is things are not what they seem to be in Clinton household. It wouldn't surprise me a tiny bit if those two sleep in separate bedrooms. But I could be wrong...
 

Adui wa mwanamke ni mwanamke! Na mimi naombea mtoto wangu asije kuwa na mentality kama za akina Nyumba Kubwa!

Ndo maana nimeanza mapema kum-instill na self-worth values. I made her take this pledge and in every quarter she has to recite it to me without note.

This is the pledge:

Promise me you'll always remember: You're braver than you believe, stronger than you seem, and smarter than you think.

A. A. Milne (Christoper Robin to Pooh)

And at the end she always adds, "I deserve nothing but the best"
 
Mimi sistahamili hata maudhi mkubwa mno, once I realize I'm not happy I'm going to file for a divorce

Life is too short to live unhappily bwana, watoto naamini watafurahi kuwa na mama mwenye furaha kuliko kujilazimisha kuishi na baba Yao huku nipo depressed.
 

Hivi kwa nini hamko wengi kama wewe?
 
Huyo mama yuko frustrated tu na haelewi jinsi ya kuishi na wanae. Watoto inapasa wafundishwe kuwa things will not go their way always na katika maisha kuna kupata na kukosa na uvumilivu unahitajika.vibinti vya hivi ndo vinakuja kuambia waume zao 'usipoleta LED TV 56" hapa mi narudi kwetu'
Nimependa concept ya dr dorothy,unachomfeed mtoto ndo atakua nacho.kwa kuendelea kukaa kwenye ndoa mbovu,kama malezi ndo haya basi hata kuondoka hakuna faida
Tena hasa wamama; unaweza sikia "msinisumbue ntawarudisha kwa baba yenu mama yenu wa kambo hawanyooshe" Hapo ameombwa ela; hana au amepika dagaa watoto wamegoma kula.

Hayo ndio malezi kwa watoto?
 
hivi mshaona watoto wanaokua kwenye nyumba yenye migogoro? Wanavyoumia kisaikolojia? Then ndo mtajua umuhimu wa talaka.
 

ushawahi ona watoto ambao wanakulia kwenye nyumba yenye migogoro?

Ambayo baba daily anarudi amelewa? Na lazima akirudi aangushe kipondo kwa mke?

Ushawahi ona mtoto wa miaka 7 akimshika baba yake na kumwambia 'bora uniue na mama?'

ushawahi ona watoto wakitoa machozi wakati baba na mama wanagombana?

Unajua wanakua wameumia kiasi gani kisaikolojia? Na inawaharibia watoto maisha yao kwa kiasi gani?

Shukuru Mungu nyumba yako imara. Ila kuna ndoa the best option ni talaka, kulinda wenza na watoto.
 
Divorce .... Divorce!!

Ni ngumu kweli kufanya. Of course tafiti nyingi hata huko marekani zinaonesha kuwa wanaoachana wengi wanaumia zaidi kisaikolojia baada ya kuachana na vile vile tafiti zinathibitisha kuwa wanawake wanaumia zaidi baada ya ndoa zao kuvunjika kuliko wanaume. Inawezekana ndo maana kina mama wanang'ang'ania zaidi.

Lakini vile vile tafiti zinathibitisha kuwa ndoa nyingi zinapovunjika; yaani wanandoa wanakuwa wamechelewa sana katika attempts za kuokoa ndoa. Yaani ndoa zinafikia kuvunjika wakati damage kwa wahusika imeshakuwa kubwa mno! Inawezekana kama wangevunja ndoa mapema madhara ya kuvunja ndoa yangekuwa madogo huko mbele. Kukaa kwenye migogoro ya ndoa kwa muda mrefu kinaumiza mno na kinaacha madhara yasiyotibika tena.

Vile vile tafiti zinathibitisha kuwa wale ambao ndoa zao zimevunjika, wanakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kushindwa kuhimili mikiki mikiki ya mahusiano yafuatayo. Yaani, ndoa yako ya kwanza ikishavunjika, uwezekano wa ndoa inayofuata kuvunjika ni mkubwa zaidi.

Sasa issue ya Boss kuwa kwa nini wanawake wanaonekana kuwa wagumu zaidi kukubali? Sina majibu! Ila mojawapo ya sababu ni Mapenzi kwa anayetaka muachane, Ugumu wa maisha au Kuwa na makosa, dini, n.k.
  1. Mapenzi kwa maana kuwa mume anaweza akawa hampendi mke wakati mke bado anampenda. Hapo mke atajalibu hiki na kile ili kuokoa ndoa yake na inakuwa vigumu kukimbilia talaka.
  2. Ugumu wa maisha - Kwa nchi zetu hizi maskini hali ya maisha ni ngumu mno na wanawake ni waathirika zaidi. Hivyo kuachana kwenye ndoa mke wakati mwingine anaona kuwa atakuwa anaukata mkono unaomlisha.
  3. Kuwa na makosa - Inawezekana deep inside mke anajua anamakosa katika huo mgogoro - yaani anajua amechangia sana mme wake kutaka kumtaliki na anajua talaka ikitoka makosa yake yatajulikana na jamii itamnyanyapaa.
  4. Dini - Nyingi haziruhusu ndoa kuvunjika. Na wanawake wengi tunajua ndo wanaojaa kwenye makanisa (ndo yanazuia ndoa kuvunjika). Hivyo mwanamke atakuwa akijaribu kuomba na kusali akiamini ndoa yake itaokoka.
Baada ya hayo msimamo wangu ni kuwa ni afadhali hali ikiwa mbaya mtengane na mkikaa mbali kwa kitambo bila kuhitajiana ni vizuri kuachana kabisa tena mapema iwezekanavyo.

Mkiachana bila kuumizana sana na maugomvi ya muda mrefu, uwezekano wa kurudiana ni mkubwa. Mkirudiana baada ya kutengana au kuachana kabisa mnaelewana vizuri zaidi na mna chance ya kudumu kuliko ilivyokuwa mwanzoni.

Mimi mwenyewe kuna wakati nili "struggle" sana kumconvince wife wangu tutengane ili tujihoji tukiwa separate; lakini ilikuwa impossible yeye kukubali kitu hicho. OK, we survived the tsunami. Lakini bado naamini kuwa kuachana mapema ni bora kuliko kusubiri mpaka ugomvi uwe mkubwa kupindukia!!
 
And wht is it that kila wakati mwanamke ndio 'ameachwa'?! Kwani wanawake hawaachi na wao?
Wengi ni woga; wanaogopa kuonekana failure ati wameachwa, na wengine wanaogopa kulea wakiwa peke yao-hawajiamini kuwa they can do a good job of raising their kids by themselves
 
Nitafurahi tukielimishana na kufundishana namna ya kuachana kwa wema ikibidi
na muhimu zaidi watu watazame talaka kama moja ya option pia na sio kuogopa
hata kujadili...life is too short to accepts 'kero zinazoepukika'....


The Boss jamani the Boss uzi huu ndo nauona sa hizi,umelifumurua wapi hili?jukwaa halijapoa na joto la last week we unalianzisha tena? Kweli kabisa mi sitii neno,najiweka pembeni kabisaaaaaaa,kuna mambo ya kuwa rattled na kupelekana ICU hapa.
 
And wht is it that kila wakati mwanamke ndio 'ameachwa'?! Kwani wanawake hawaachi na wao?


Kusema mwanamke anaachwa linatokana na mfumo wa lugha pia, (rejelea kuolewa, kuchumbiwa,kuposwa...). Hii inatokana na lugha ya kiswahili kuwa influenced na mila za Kiarabu/Kiislam. Kwa mila za kiislam mwanamme katika hali ya kawaida ndio mwenye kauli ya mwisho kwenye talaka (mwanamke hawezi kusema au kumuandikia mume kuwa kamuacha na ikasimama kisheria) unless akatoe kauli hiyo kwenye mahakama rasmi


Pia wanawake wanaonekana kuji-label hivyo kwa sababu wao huwa wanataka kuendelea na ndoa na wanaume wanaamua kuwabwaga (kuwaacha).


NB: Kwenye maneno yangu niliandika "ati wameachwa", nafkiri inaeleza msimamo wangu vizuri unapozingatia neno ATI kwenye sentensi hiyo
 
Mungu hapendi kuachana, kwa nini mie nishabikie kuachana? mie ni nani mbele ya Mungu? tunaachana basi tu ila Mungu hapendi labda umfumanie mwenzako anazini au kashindwa kukupa unyumba...mengine ni ya kawaida sana

kudundwa mpaka uzimie mbele ya watoto ni ya kawaida?
hivi huyo mungu mlizungumza nae lini??????
 


inawezekana wanawake wanaopigania haki za wanawake
hawajaona jinsi lugha inavyowarudisha nyuma,
misamiati ya kuolewa na kuachwa inawaathiri zaidi kuliko tunavyofikiri...
 


hayo yote uliyoyaeleza kuna wadada hapa jf yanawakuta
na ukiwashauri 'talaka ' tu...mnagombana.......
 
Hivi kwa nini hamko wengi kama wewe?

unaweza kukuta Gaijin anapingwa hata na wanaojiita wanaharakati wa haki za wanawake Tanzania....
wanawake wa Tanzania...wanahitaji scientific research kwa kweli.....pamoja na phd zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…