Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania?
Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia hatua ya kuweka tiles; nimepambana kwa 5yrs na imefikia hapa. Sijaingia bado ila umeme nishaweka, bado maji na tiles.