Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

MOSHIFST

Senior Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
136
Reaction score
262
Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania?

Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia hatua ya kuweka tiles; nimepambana kwa 5yrs na imefikia hapa. Sijaingia bado ila umeme nishaweka, bado maji na tiles.

 
Acha kutudharau mkuu. Nyumba nzuri unaita Kibanda? Hizo kejeli acha. Shukuru Mungu.
 
Nimewahi sikia Kuwa zipo za kuweka kwenye Bali ya hewa ya baridi ili kuongeza Joto na zilizop Nyingine ni za kuweka kwenye Joto ili kupoza na kuleta baridi wajuzi tunaombwa ufafanuzi utofauti kama IPO n majina yake
 
Nimewahi sikia Kuwa zipo za kuweka kwenye Bali ya hewa ya baridi ili kuongeza Joto na zilizop Nyingine ni za kuweka kwenye Joto ili kupoza na kuleta baridi wajuzi tunaombwa ufafanuzi utofauti kama IPO n majina yake
Tiles za China zikiwa kavu hakuna kitu zinavunjika tu. Hilo tatizo hata za Tanzania zinazo. La sivyo uchukue zenye ujazo mkubwa. China unaweza kuweka chooni
 

Kumbe mabanda ndio yanakuwa hivi [emoji41]kila siku nilikuwa nasikia lkn sikuwahi kuona picha
 
Naomba kujua faida za mapaa kwenda hewani hata king post kuzidi kimo cha nyumba husika
 
Asante sana kwa usahuri
Me nauza tiles..
Kama bajeti iko vizuri chukua spain or India lkn kama unataka ambzo ni imara pia affordable chukua zinazo tengenezewa apa bongo kama Twyford..
Kama unataka maelekezo zaidi nichek kwa namba..
0623152344
 
Kuna tiles zinatengenezwa na kiwanda fulani kipo Mbeya.....nimesahau jina lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…