Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

Me nauza tiles..
Kama bajeti iko vizuri chukua spain or India lkn kama unataka ambzo ni imara pia affordable chukua zinazo tengenezewa apa bongo kama Twyford..
Kama unataka maelekezo zaidi nichek kwa namba..
0623152344
Twyford bei zake zikoje kwa size tofauti tofauti?
 
Taha Ceramics​

Dealers Ceramic and Porcelain Tiles, Stylish Sanitary Ware from Egypt and India. Call|WhatsApp on +255 757 254 070 for more details and info.​

Wapo Mbezi africana na Kariakoo. Ila showroom yao nzuri na kubwa nenda africana

https://www.instagram.com/tahaceramicstz/ Instagram page yao
 
Wana tiles nzuri sana
Ila kama mfuko wako ni wa iman upendo na muujiza mzee utachemka. Ila kama unajiweza wahi showroom yao kkoo kuna ofa.sqm 1 sh 29850.
 
Wana tiles nzuri sana
Ila kama mfuko wako ni wa iman upendo na muujiza mzee utachemka. Ila kama unajiweza wahi showroom yao kkoo kuna ofa.sqm 1 sh 29850.
Kwa bei hiyo siyo mbaya. Kuna tiles za Goodone za kichina zinatengenezwa maeneo ya Mlandizi au Kibaha wanazo very good quality kwa unene wa mfuko wako.
 
Kwa bei hiyo siyo mbaya. Kuna tiles za Goodone za kichina zinatengenezwa maeneo ya Mlandizi au Kibaha wanazo very good quality kwa unene wa mfuko wako.
Kwa sq m.1.kumbuka.sasa kama box ni cover 1.75 x 29850
 
TYWFORD BABA LAO, USIJIULIZE MARA 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…