mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Uko mkoa gani na eneo lako lina aina gani ya udongo?Ndugu wadau natarajia kuanza ujenzi wa Nyumba.Ombi kwenu je Tofari za Inchi 5 zinafaa Kwa msingi Na ukuta?Naomba ushauri wenu ikiwa pamoja Na faida Na madhara ya kutumia size hiyo pia mapendekezo yenu.Nawasilisha.
What matters ni ubora wa tofali!!kwa nyumba za kawaida tu hizi za chini tofali inch tano inajenga kuanzia msingi mpaka ukuta!tofali za msingi unalaza,ukiamua kupiga jamvi sawa,au unazungusha mkanda tu!hvyo uimara wa tofali ndo jambo la msingi zaidiNdugu wadau natarajia kuanza ujenzi wa Nyumba.Ombi kwenu je Tofari za Inchi 5 zinafaa Kwa msingi Na ukuta?Naomba ushauri wenu ikiwa pamoja Na faida Na madhara ya kutumia size hiyo pia mapendekezo yenu.Nawasilisha.
Mkuu nitafutie kiwanja cha bei ndogo hapo kigamboni.Asante wadau Kwa ushauri je kuna Mwenye mamba ya Mwuuza matofari kule mwembemdogo mbele ya Edge kigamboni anisaidie
0753188881Asante wadau Kwa ushauri je kuna Mwenye mamba ya Mwuuza matofari kule mwembemdogo mbele ya Edge kigamboni anisaidie
Upana cm 45 au inch 17.7Msaada plz Naitaj kujua unene ulefu na upana wa tofali???