Ushauri wa ujenzi wa msingi na ukuta

Ushauri wa ujenzi wa msingi na ukuta

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Ndugu wadau natarajia kuanza ujenzi wa Nyumba. Ombi kwenu je tofali za Inchi 5 zinafaa Kwa msingi na ukuta? Naomba ushauri wenu ikiwa pamoja na faida na madhara ya kutumia size hiyo pia mapendekezo yenu.
Nawasilisha.
 
Ndugu wadau natarajia kuanza ujenzi wa Nyumba.Ombi kwenu je Tofari za Inchi 5 zinafaa Kwa msingi Na ukuta?Naomba ushauri wenu ikiwa pamoja Na faida Na madhara ya kutumia size hiyo pia mapendekezo yenu.Nawasilisha.
Uko mkoa gani na eneo lako lina aina gani ya udongo?
Matofali ya msingi ni 6" kwa kulaza, na 5" kwa ukuta yanafaa kama...nyumba ni ya kawaida
 
Tumia tofali za nchi sita kwa msingi kama uko dar au maeneo yote yanaotumia tofali za cement na Mchanga.. Kama mkoa unaojenga wanatumia tofali za kuchoma, basi tumia Mawe kwenye msingi...
 
Tumia nchi 6 ulaze ila vizuri pata ushauri kwa Engineers, Quantity Surveyor, or Architect mana msingi unategemea na eneo lako na mzigo wa nyumba yako n.k
 
Asante wadau Kwa ushauri je kuna Mwenye mamba ya Mwuuza matofari kule mwembemdogo mbele ya Edge kigamboni anisaidie
 
Ndugu wadau natarajia kuanza ujenzi wa Nyumba.Ombi kwenu je Tofari za Inchi 5 zinafaa Kwa msingi Na ukuta?Naomba ushauri wenu ikiwa pamoja Na faida Na madhara ya kutumia size hiyo pia mapendekezo yenu.Nawasilisha.
What matters ni ubora wa tofali!!kwa nyumba za kawaida tu hizi za chini tofali inch tano inajenga kuanzia msingi mpaka ukuta!tofali za msingi unalaza,ukiamua kupiga jamvi sawa,au unazungusha mkanda tu!hvyo uimara wa tofali ndo jambo la msingi zaidi
 
je! udongo mweusi (tifutifu) msingi kwa kulaza in 6 tafali inafaa?
 
Back
Top Bottom