Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu kwa ushauri wa upendo kabisa muanze kujipanga vyema na madudu yaliyojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa yasijirudie kwenye usimamizi wenu.
Pili ni vema mkaangalie uwezekano wa kuwaajiri watumishi wenu nchini kote waigeni Tume Huru ya Kenya ambao watumishi wao siyo waajiriwa wa Serikali. Tatu epukeni kuwatumia watumishi wa Serikali katika kusimamia uchaguzi.
Kutumia watumishi wa Serikali itawaletea malalamiko mengi sana. Ushauri ni ushauri. unaweza kuukubali au kuukataa.