Ushauri wa Waislamu waliopo club ya Simba

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Sidhani malumbano ya Mangngu na Dewji watakusaidieni.
Tuache kupoteza muda ktk kutumia nguvu, akili na muda mwingi kujadili malumbano.
Tuutumie muda wetu katika kuitafuta akhera yetu badala kutumia muda kulumbana ktk vitu ambavyo ukifumba jicho havikusaidii kitu.
Nawashauri tuachane na haya kupitia mitandao ya kijamii
 
Sheikh umeongea kwa kujificha sana. Wewe nyoosha tu maelezo kusema "kucheza/kuangalia mpira" ni haram kwa mtazamo wa imani yako. Tuone sasa kama hao ndugu zako katika imaan watakusikiliza.
 
Sidhani malumbano ya Mangngu na Dewji watakusaidieni.
Tuache kupoteza muda ktk kutumia nguvu, akili na muda mwingi kujadili malumbano.
Tuutumie muda wetu katika kuitafuta akhera yetu badala kutumia muda kulumbana ktk vitu ambavyo ukifumba jicho havikusaidii kitu.
Nawashauri tuachane na haya kupitia mitandao ya kijamii
Mkuu wewe peke yako ukienda peponi inatosha. Kwa nini unataka wote tukajae huko peponi?
 
Unajua mpira ndio unaunganisha watu wote bila kujali imani zao wala tofauti za kisiassa.
 
Back
Top Bottom