kipoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2012
- 370
- 296
Habari wana JF, baada ya CHADEMA kupitia kipindi kigumu cha kampeni pasipo media na hivyo habari zao kutowafikia watu wengi na kwa wakati, nimekuja na ushauri ambao wakiutumia lazima kwa sehemu kubwa wafanikiwe. Wafanye yafuatayo;-
- Kuwa na channel yao YouTube ambayo itarusha mikutano yao.
- Kuwa na kituo kikuu cha habari ambacho kitahusika na kuchakata taarifa na kuzituma kupitia social networks.
- Kuajiri vijana zaidi ya 1000 ambao wao watakuwa wakieneza propaganda chafu dhidi ya CCM na kuwashawishi watu kuichagua CHADEMA kupitia social networks.
- Kutafuta magari mengi yenye vipaza sauti ili kuzunguka kwaajili ya kukusanya watu wajae kwenye mikutano yao.
Kwa ushauri huo lazima wafanikiwe kutwaa dola labda kama hawapo tayari kwa uchaguzi huu!!
Nb. Acha kupinga ushauri wangu, nawe shauri ya kwako kuwasaidia CDM.