Uchaguzi 2020 Ushauri wa wazi kwa CHADEMA

Huyo jiwe angetaka kumuua huyo lisu wenu, kwanini hajampeleka mahakamani??
Anaogopa nini kuenda mahakamani kufungua mashitaka kama haikua kiki ili ili impe promo ya kisiasa
Aende kuripoti kwanza mahakamaniiiii
Unatumia kiungo gani kufikiri we MAKOTA? Tanzania bado kuna Mahakama?
 
Kwahiyo zile ambazo lisu alifungua kesi kupinga kuvuliwa ubunge wake kumbe zilikua ni kanisa?

Acha matusiiii, jamaa yenu si anajidai anajua sheria, yaaani afanyiwe kitendo kibaya namna ile awe hajaripoti at a mahakama ya kijiji, na vile anavyopenda kiki ya ujuaji?

Like igizo lilishabuma mzeee waaanguuu.
 
Tatizo tisiaraei jamaangu...hawawezi kuwa fea ktk hili!
Hizo channel tu mpaka kuzipata no Kama unaomba kibali Cha kuuza mihadarati,hasa iwe sii kwa upande pendwa .Achilia gharama.
 
- Kuajiri vijana zaidi ya 1000 ambao wao watakuwa wakieneza propaganda chafu dhidi ya CCM na kuwashawishi watu kuichagua CHADEMA kupitia social networks.
Kwa pesa ipi?
 
Kwahiyo zile ambazo lisu alifungua kesi kupinga kuvuliwa ubunge wake kumbe zilikua ni kanisa?

Acha matusiiii, jamaa yenu si anajidai anajua sheria, yaaani afanyiwe kitendo kibaya namna ile awe hajaripoti at a mahakama ya kijiji, na vile anavyopenda kiki ya ujuaji?

Like igizo lilishabuma mzeee waaanguuu.
Kwasasa Tanzania hatuna utawala unafuata wa kuheshimu katiba, tuna UTAWALA WA MKONO WA CHUMA. Uthibitisho ni namna Mahakama na Bunge zilivyowekwa mfukoni na huyu DIKTETA UCHWARA.
 
Nimewatoa kwenye point za uhakika dhidi ya propaganda zenu, kwasasa mumekimbilia matusi sawaa tuuuuu
Tukaneni muwezavyooo.
 
Nani anayeongoza Serikali hii we mpuuzi? Majukumu yao ni kuiba tu na kufanya starehe?
 
Back
Top Bottom