Ushauri wa wazi kwa viongozi wa Simba SC!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!

Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
 
Hii imekaa vizuri, wao si simba kwanini wakazindue mliman wakati kuna kivutio kinachoshabiana nao[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!

Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
Wiki yenu imepoa sana. Habari nzima mjini sasa hivi ni kuhusu safari ya mlima kilimanjaro. Na jumamosi habari nzima itakuwa jezi na kukandwa kwa Puyanga katika siku zao
 
Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!

Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
good idea[emoji1][emoji1]
 
Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!

Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
Kijana nenda ukaripoti kituo chochote cha polisi kabla bwana Genta hajaiona post yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…