Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekaa vizuri, wao si simba kwanini wakazindue mliman wakati kuna kivutio kinachoshabiana nao[emoji28][emoji28][emoji28]Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!
Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
Wiki yenu imepoa sana. Habari nzima mjini sasa hivi ni kuhusu safari ya mlima kilimanjaro. Na jumamosi habari nzima itakuwa jezi na kukandwa kwa Puyanga katika siku zaoKwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!
Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
good idea[emoji1][emoji1]Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!
Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
[emoji28][emoji28][emoji28]Tunasubiri msiba wa bwana mangungu kugeuzwa chakula na simba
Huu ni ushauri,, lkn hata angekosoa kwani kukosoa ni dhambi? Au sheria ipi ya nchi yetu inazuia?Watanzania kila kitu mnakosoa!
Kijana nenda ukaripoti kituo chochote cha polisi kabla bwana Genta hajaiona post yakoKwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi!
Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
[emoji28][emoji28][emoji28]Kijana nenda ukaripoti kituo chochote cha polisi kabla bwana Genta hajaiona post yako