A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Habarini wanjukwaa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Mchana wa leo nonakuja kwenu kutaka kupata msaada wa mawazo hasa katika biashara ambayo mtu anaweza fanya na ikamsaidia kujikimu katika mahitaji yake
Kwanza kabisa nina kuku kama 200 ivi lakini nilipata changamoto ya magonjwa na kupelekea kuku wengi kufa na kunipatia hasara japo sijafikiria kuaachana na ufugaji wa kuku lakini nataka nianze upya kwa kufuga kuku wa kienyeji pure na siyo hizi jamii nyingine ambazo kwangu nimegundua kuwa ni rahisi kusumbuliwa na magonjwa sana
Jambo ninalo hitaji toka kwenu ni nini biashara gani ambayo naweza kuifanya kwa mtaji wa shilingi milioni nne na ikaniwezesha kuendesha maisha [emoji654]
[emoji654]Nilifikiria kufanya biashara ya nafaka lakini nimekosa mwongozo wa namna ya kupata nafaka kwa bei poa na kushafirisha mpaka hapa nilipo naona ni changamoto
[emoji654]Nimefikiria kufanya biashara ya pumba ya mahindi nayo ni changamoto kutokana na bei ya huko zinakopatikana na bei ya kuuzia huku nilipo haitakuwa na faida hata kidogo
Wadau naombeni ushauri wenu maana najua humu kuna wataalamu wa biashara
Asanteni na karibuni