Mhina Martin
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 144
- 189
Peleka veta wakapate ujuz wa kujiajir na kuajiriwa Kwa haraka hayo mengine kupoteza pesa na mudaUshauri wa hizi kozi tatu za kusomea wadogo zetu Waliopata DD Tano FORM FOUR ipi ina uwanda mpanda Na vitu gan vya msingi aandae mapema akitaka kuomba Kuanza Kusomea CERTIFICATE
1.HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
2.PROCUREMANT AND SUPPLY
3.SECTRETARIOR STUDY AND ADMINISTRATION
Umeongea jambo la maana sana, hivi Degree unayojilipia na VETA unaona bora kipi?Peleka veta wakapate ujuz wa kujiajir na kuajiriwa Kwa haraka hayo mengine kupoteza pesa na muda
Asante shukrani sanaBora veta degree zimejaa mtaan wengi wamekua waendesha pikipiki na bajaj wengine mama ntilie halaf Kuna sisi wengine daaah waende veta kusave hela
Soma Maximo yanayohusu Biashara na marketing .Ushauri wa hizi kozi tatu za kusomea wadogo zetu Waliopata DD Tano FORM FOUR ipi ina uwanda mpanda Na vitu gan vya msingi aandae mapema akitaka kuomba Kuanza Kusomea CERTIFICATE
1.HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
2.PROCUREMANT AND SUPPLY
3.SECTRETARIOR STUDY AND ADMINISTRATION