Ushauri wadau wa hizi kozi

Ushauri wadau wa hizi kozi

Ushauri wa hizi kozi tatu za kusomea wadogo zetu Waliopata DD Tano FORM FOUR ipi ina uwanda mpanda Na vitu gan vya msingi aandae mapema akitaka kuomba Kuanza Kusomea CERTIFICATE
1.HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
2.PROCUREMANT AND SUPPLY
3.SECTRETARIOR STUDY AND ADMINISTRATION
Peleka veta wakapate ujuz wa kujiajir na kuajiriwa Kwa haraka hayo mengine kupoteza pesa na muda
 
Ushauri wa hizi kozi tatu za kusomea wadogo zetu Waliopata DD Tano FORM FOUR ipi ina uwanda mpanda Na vitu gan vya msingi aandae mapema akitaka kuomba Kuanza Kusomea CERTIFICATE
1.HUMAN RESOURCES MANAGEMENT
2.PROCUREMANT AND SUPPLY
3.SECTRETARIOR STUDY AND ADMINISTRATION
Soma Maximo yanayohusu Biashara na marketing .

Tofauti nenda VETA
 
Back
Top Bottom