Out of topic: Ungekuwa umeleta topic ya kumwombea ushauri jamaa amabo uko related na matatizo, lazima mpaka muda huu ungeshakutana na post inayosema ni wewe, ila kwa vile ni issue ya gari tunajifanya siyo wewe unayeomba ushauri.
Back to topic: Kama gari ni la kwanza na anaishi maeneo ambayo hilo gari litatembea baadhi ya barabara za vumbi, nashauri atafute model za toyota. Baadhi ya hizi Mazda mafundi wanazingua sana, halafu bado sioni kama ni prestige brank kiasi cha ku-replace Toyota.