Ushauri wako anataka agizia MAZDA demio

Ushauri wako anataka agizia MAZDA demio

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Habari wakuu kuna mwanangu mmoja baada ya kupigika na ngoko na daladala mjini kaona Sasa ni muda muafaka kuagizia chombo Cha mjapan

Anataka kuchukua hio Gari Mazda demio ya 2002 nadhani

Muhisika sio mzoefu sana ni first time kumiliki hicho chombo

So anataka ushauri/mawazo yenu juu ya hii gari kuhusu

Stability

Comfortability

Durability

Fuel consumption

Spare parts availability and so on

Anataka kabla hajaenda kuchukua clear picture kuhusu hio Gari


Karibu kwa maoni yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achukue vits, ist, funcargo,spacio,raum,na zinazofananania na hizi

Na pia kama anaweza pata mtu mwaminifu akamuuzia ya hapa hapa no D ingekuwa poa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of topic: Ungekuwa umeleta topic ya kumwombea ushauri jamaa amabo uko related na matatizo, lazima mpaka muda huu ungeshakutana na post inayosema ni wewe, ila kwa vile ni issue ya gari tunajifanya siyo wewe unayeomba ushauri.

Back to topic: Kama gari ni la kwanza na anaishi maeneo ambayo hilo gari litatembea baadhi ya barabara za vumbi, nashauri atafute model za toyota. Baadhi ya hizi Mazda mafundi wanazingua sana, halafu bado sioni kama ni prestige brank kiasi cha ku-replace Toyota.
 
Back
Top Bottom