Ushauri wako kwa Diamond

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kwanza nipende kumpongeza dogo kwa kukwaa tuzo za kilio lakini pia niwaombe mwenye mapenzi mwema naye wamshauri chochote kupitia ukurasa huu .itansaidia kwa njia moja au nyingine
 
Akumbuke kuwa duniani tunapita na kifo kipo kwa kila Mwanadamu.
 
Dogo ajue kuna kupanda na kushuka so awe tayari kwa chochote tusijeshikana uchawi baadaye
 
Kwanza nipende kumpongeza dogo kwa kukwaa tuzo za kilio lakini pia niwaombe mwenye mapenzi mwema naye wamshauri chochote kupitia ukurasa huu .itansaidia kwa njia moja au nyingine

Wamshauri chochote ili iweje? Kakuomba uje hapa uweke tangazo?

Au ndiyo kujipendekeza kwenyewe huko......?
 
Tatizo huyo dogo anapenda sana sifa, me ndo kitu anachonikera hicho. Ushauri; dogo ajifunze vitu vya maana kwa wasanii waliomtangulia mfano A.Y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…