Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza nipende kumpongeza dogo kwa kukwaa tuzo za kilio lakini pia niwaombe mwenye mapenzi mwema naye wamshauri chochote kupitia ukurasa huu .itansaidia kwa njia moja au nyingine
atulize mtarimbo wake.....,
Wamshauri chochote ili iweje? Kakuomba uje hapa uweke tangazo?
Au ndiyo kujipendekeza kwenyewe huko......?
Makubwa.
Najua unapenda makubwa makubwa wewe....
Utanipata endapo utamuita daktari Lady doctor aje kukupima.
Aje kunipima nini? Kisukari? Kifua kikuu? au UKIMWI?