Kama unahitaji mahindi ya kutosha Ni PM please. kama uko serious na biashara kuna sehemu mahindi yapo ya kutosha wanunuzi hakuna.
nimesema kama upo serious ni PM. We inaonekana hauko serious wenzio wameshaniPM KtamboMkuu kuna tabu gani kama ukieleza hapa wapi yalipo hayo mahindi mengi na bei yake ikoje kuliko watu wote tukufuate PM?
Ni ushauri tu.