chox05
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 230
- 93
M mwanafunzi nasoma njee ya nchi sehemu nilipo Vifaa vya hospital bei rahisi na kwa makampuni niliyoyafatilia yote yapo iso certified nimebakisha mwaka na nusu katka masomo yangu,kwa mda uliobaki nlikuwa nataka nitume Vifaa kama microscope ,incubator,centrifuge corolimeter kwa ajili ya kuanzsha private clinical lab,je kunamashariti gani kuingiza vitu hvyo?na masharti ya kuanzsha Maabara ,