Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
- Thread starter
- #21
mbebe kila siku mkeo kama uzito unaongezeka bac hakuna tatizo kama unapungua wai haraka usichelewe kimbia hospital ukamuone daktari
hahaha ...! Mkuu umenifurahisha. Ila nashukuru kwa ushauri wako,kwani unanifanya nianze kufanya mazoezi ya kubeba vitu vizito. Kwani wife ninoma.