Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
- Thread starter
-
- #21
mbebe kila siku mkeo kama uzito unaongezeka bac hakuna tatizo kama unapungua wai haraka usichelewe kimbia hospital ukamuone daktari
asante bibie,kiukwel amekwisha anza kuudhuria clinic na pia amekwisha anza kutumia doz ya kwanza ya sp. Ila kule clinic walituambia tuendele kusubiri ifike wiki ya 17 ambazo zimekwisha pita na sasa wife amefikisha wiki ya 20 sawa na miezi 50 lakini toto alichezi kabisa. Binafsi nahisi uwenda labda kunatatizo. Kwahiyo nikaona nipate mawili matatu humu ili nijue wapi kwa kuanzia
Madoctor tumejaa tele hapa JF, au unataka aende akalipie gharama. Basi jukwaa la JF Doctor litolewe.Hongera baba kijacho.
Mkeo anaenda clinic? Hebu kamata mkono muende nae clinic, mkae na dr muelezwe kila kitu.
ni kweli, nenda kwa daktari anayejua haya. Itafahamika kama ana tatizo ama la.
Madoctor tumejaa tele hapa JF, au unataka aende akalipize garama. Basi jukwaa la JF Doctor litolewe.
Eeh, baba mzuri wewe manake unajua hadi kuhusu dozi ya sp? Im proud of you.
Sasa fanya hivi, rudi tena uwaambie wamfanyie kipimo kusikiliza mapigo ya mtoto. Lakini ukitoka hapo unaweza kuenda kwa daktari mwingine just to get a second opinion atasemaje. Kuhusu madaktari ni sawa kuona hata watatu. Ukienda beba na vipimo vyote na kadi na umuambie mnataka kujua tu maoni yake. Usijeleze sana ili umsikie kama ataongea sawa na
kwa siku kama hajacheza chini ya mara kumi nadhani wahi kwa dokta mapema. Maana huwezi jua kuna nini maana ile cord nayo inawezaga kuwakaba au anything madokta watakushauri.
Mostly any strange thing wahi kwa dokta
Madoctor tumejaa tele hapa JF, au unataka aende akalipie gharama. Basi jukwaa la JF Doctor litolewe.
kwa siku kama hajacheza chini ya mara kumi nadhani wahi kwa dokta mapema. Maana huwezi jua kuna nini maana ile cord nayo inawezaga kuwakaba au anything madokta watakushauri.
Mostly any strange thing wahi kwa dokta
nashukuru sana jirani,kwa mawazo yako na ushauri wako,kwani walau nimepata mwanya wakuweza kuona niendako.
Kiukweli nakosa raha kuhusiana na inshu hii. Leo nimekuja kazini kwa dhumuni moja kujaza formu ya likizo ili nimuhudumie wife na mtoto aliye tumboni,kwani nimeanza kuingiwa na wasiwasi juu ya afya ya mtoto wangu. Mawazo na hali ya wasiwasi inaniingia kwani nilikwisha wai kumpoteza mtoto wangu. Akiwa bado yu tumboni,kipindi mimba ikiwa na miezi miwili kasoro siku 5. Ilikuja kualibika pasipo kujua,kwani tulikua tunaendelea na game kama kawaida. Ila baada ya kutokea kuribika kwa ujauzito ndipo nilikuja kujua sababu ya yote. Kiukweli ninaamu na mtoto.
Wala usiwe na wasiwasi, Mungu mwema atawatunuku tu. kuharibika kwa mimba hakutokani na kujamiiana wakati wa ujauzito. Ukifika kwa dr muulize maswali yote atakuelewesha. Ningekushauri usichukue likizo hapa mwanzo manake utahitajika zaidi mwishoni. Pia mama aanze likizo na ujauzito wa miezi 8.
Kila la kheri
Wana jamvi habari za mchana. Wandugu uwanawaheshmu sana kwa ushauri mnaotoa. Kwani nimekwisha nufaika na ushauri wenu.
Leo ninajambo ambalo naliona kama si lakawaida kwa mke wangu. Jambo lenyewe ni kwamba:- mke wangu anaujauzito ulikia miezi mitano (wiki ya 20 ). Tatizo ni kwamba mbaka sasa anasema mtoto hajamsikia akicheza tumboni.
Binafsi ninavyo tambua kuhusu mtoto kucheza tumboni uwa kwanzia wiki ya 17.
Kwahiyo ndugu zangu ningependa kufahamu kama nitatizo ama ni hali ya kawaida?
Cc: Mzizi mkavu,washawasha, na n.k