Naombeni ushauri juu ya pump gani nzuri yenye ubora ya kuvuta/kunyonya maji mtooni kwa ajili ya kumwagilia shambani.Size iwe inch 3
Naombeni pia mnijuze ni ipi bora kati ya ile inayo tumia disel na ile ya petrol then maduka ambayo naweza zipata na bei zake.Natanguliza shukrani zangu kwa JF GTs