Ushauri wako unahitajika juu ya hili.

Ushauri wako unahitajika juu ya hili.

Mosiwakaya

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
185
Reaction score
35
Natumai nyote wazima wa afya,
Nimekuwa nikinywa maji yasiyo pungua lita 5 kwa siku,
yaani asubuhi nikiamka tu nakunywa lit 1, nakaa mpaka saa saa 3 asubuh baada ya chai tena nakunywa lit 1 nyingine, na inapofika saa 8 mchana baada ya chakula nakunywa lita nyingine, saa 10 jioni napiga nusu lita nyingine, ikifika saa 12 hadi wakat ya chakula cha ucku hapo huwa nakunywa zaidi ya lita 2 kwa kuwa huwa npo nyumban baada ya kutoka kazini..Je, matumizi haya ya maji hayawezi kuniletea madhara mengine ya kiafya japo wanasema maji ni mhimu lakini kwangu naona nimezidisha kiwango, naombeni ushauri wenu watalaam wa afya.
 
Binafsi sijawahi kusikia kama maji yana madhara mwilini ngoja waje madakitari
 
Natumai nyote wazima wa afya,
Nimekuwa nikinywa maji yasiyo pungua lita 5 kwa siku,
yaani asubuhi nikiamka tu nakunywa lit 1, nakaa mpaka saa saa 3 asubuh baada ya chai tena nakunywa lit 1 nyingine, na inapofika saa 8 mchana baada ya chakula nakunywa lita nyingine, saa 10 jioni napiga nusu lita nyingine, ikifika saa 12 hadi wakat ya chakula cha ucku hapo huwa nakunywa zaidi ya lita 2 kwa kuwa huwa npo nyumban baada ya kutoka kazini..Je, matumizi haya ya maji hayawezi kuniletea madhara mengine ya kiafya japo wanasema maji ni mhimu lakini kwangu naona nimezidisha kiwango, naombeni ushauri wenu watalaam wa afya.

Kuna uzi kama huu hapa chini tena wa jana tuu..mzee umebadilisha id na kutuma tena?
 
Maji ni dawa mkuu ila tu uwe unakunywa maji safi na salama
 
Back
Top Bottom