Ushauri wakuu.anasema hana feeling na mimi

Ushauri wakuu.anasema hana feeling na mimi

nikamueleza lakini akaniambia she is not feel me.nikajaribu kuongea nae lakini jibu likawa hivyo leo usiku huo nikampigia tukaongea na leo asubuhi pia nimempigia tumeongea lakini jibu ni hilo bado ila nikimpigia anarespond

mkuu wewe unaroho ngumu kwa hakika mi msichana akiniambia yupo na mtu tayari uwa ninasepa siku nitaambiwa kwamb sipendwi oh oh sijui. Wanawake wanaosema kuwa sikupend mi nawaona vicheche tu coz mtu aliekuja kwako for first time unatakiwa kumtread as friend hata kama umpend mjibu vizuri mwambie upo in relationshp ukiona king'ang'aniz mpotezee .
 
Wakuu niko chuo kikuu ninasoma na dada fulani ambaye nimekuwa nikimpenda sana!wiki iliyopita nikamwambia nina mazungumzo na yeye akaniambia yuko bizze kidogo na akawa ameniambia tukutane ijumaa jioni tuongee.nikawa nimekubali lakini baadae nikakumbuka kuwa nilikuwa nisafiri Alhamis kwenda mkoa jirani ila ningerejea baada ya pasaka nikampigia nikamweleza akaniambia tuonane nikisharudi.baada ya kuwa nimerudi nikawasilia nae akaniambia tukutane jana saa kumi mna moja jioni mda ulipofika nikampigia hakupokea nikamtafuta saa mbili hivi akapokea akasema alikuwa amebanwa kidogo ila akaniambia tuonane jioni hiyo ilikuwa kama saa tatu hivi na kimvua kilikuwa kinanyesha tukaenda mahalifulani nikamueleza lakini akaniambia she is not feel me.nikajaribu kuongea nae lakini jibu likawa hivyo leo usiku huo nikampigia tukaongea na leo asubuhi pia nimempigia tumeongea lakini jibu ni hilo bado ila nikimpigia anarespond flesh tu nifanyeje wadau?

Chagua kati ya haya:
1. Mng'ang'anie akukubali, halafu baadaye akucheat na mtu mwingine and then ukija kugundua uje ulalamike hapa
2. Umuache na u-nurse hayo maumivu yako for some time, then Mungu akipenda upate mtu mwingine ambaye naye atakupenda.
 
DOGO NIMEANGALIA NA KUSOMA MESEJI NYINGI ZA WADAU HAPA SIJAONA HATA MOJA INAYOKUPA MANENO YA KISHUJAA KAMA MGUU WA SHINGO MGUU WA ROHOO..KOMAA BABA HAWA MAMA ZETU HUWA WANAKAWAIDA YA KUJIONGEZEA VALUE (Value Added Girls) soo HATAKIWI KUKUKUBALI HARAKAHARAKA KAMA WALEEE WANAOUZA KAMA VITUMBUA BARABARANI...HULKA YA MTOTO WA KIKE KURINGA KUTONGOZWA MIAKA KUTOA PENZI HULKA...

TAMBUA YAFUATAYO KUHUSU WANAWAKE
1- NI WENYE HURUMA KIASI KWAMBA HAWAPENDI KUONA KIUMBE KINATESEKA JUU YAO

2- NI WAELEWA WA MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAFIKIRIA JUU YAO

3- ALIYEWALOGA KESHAKUFA SOO AKILI YAO NI MOJA KAM A ULIMPATA HALIMA KWA MTEGO WA NOTI ASHA NAYE HARUKI HASA HUU WA UCHAWI WA KIJAPENGA UNATEMBELEA MASABURI

FANYA YAFUATAYO ILI KUMPATA HUYOOO DENT WAKO
1- MLILIE ILI AKUHURUMIE...DOGO NAMAANISHA TIA HURUMA KIASI AAMINI BILA YEYE WEWE HAPA DUNIANI HUNA CHA KUFANYA BORA UKAM-JOIN KANUMBA ( KUMBUKA WEAKNESS YAO NAMBA 1)

2- WANAPENDA SANAAA KUDANGANYWA INGAWA UKWELI WANAUJUA TAYARI..SOOO DOGO MPIGISHE MI-SOUND YA KUFA MTU MWAMBIE UTAMNUNULIA NDEGE, MKUFU WA DHAHABU, TANZANITE NA KESHO CAFETERIA UTAMNUNULIA ANDAZI..KISHA NUNUA ANDAZI THEN UKIPATA BOOM NUNUA MKUFU WA DHAHABU GRAM 1 YEYE ATAAMINI KIFUATACHO NI HERO-PLANE..AHAHAHA...KISHA UTAPEWA UKITAKACHO.

3- KAMA UPO FRESH TUMIA MTEGO WA PESA...ADVERTISE UWE UNAKUJA KITAA NAKUACHIA KI-VOGUE CHANGU UNAUZIA SURA MARA UNAAZIMA HAMMER YA ZITTO UNAOSHEA LAST TYME UN AKAMATA BUGGATI YA BAKHRESA UNAUZIA...WATAJIPANGA KAMA UTITIRI..ANYWAY HAKIKISHA ROUND ZA BIA NA WINE PALE FISHFISH HAZIKAUKI NA WEWE LAZMA UWE UNAFRONT BILL....

KAMA HUJANIIELEWA SIONI UTAVYOPATA MTOTO MZURI DUNIANI..LABDA UWE UNABAKA NA KUNUNUA SOKONI WA FASTFASTA....DOMO ZEGE WEEEEEE POLEEEE
 
He he he..hii dozi ni nzito sana kwa dogo, sjui kaa amekuelewa..

Maana kuambiwa na demu kuwa hamfeel kaja mbio JF kufungua thread apewe madesa!
 
Kuna majibu mengine ukijibiwa unatakiwa usepe mfano ulilojibiwa ww!hata akibadili mawazo w mpotezee 2!
 
pesa inaweza ikawa suluhisho tatizo la pesa ni kuwa ukianza kutumia hadi unakuja kula tunda, investment inakuwa more than returns.
 
kijana you better move on, ukiforce sana unaweza pata au ambulia matusi au unaweza kuwa spare tire.
 
nalo hili litapita tu, kivipi sijui lakini litapita. You are a man and a strong man knows how to survive even when the storm is pushing. What i trust in ma life is if she was not meant for you she wont have feelings towards you and if she was meant no matter how many times she refuses she will be yours.

nayaongea haya with vivid examples and experience from ma life. Am married to a man ambaye sikuwahi kuwaza kuwa angekuwa mume wangu kwasababu kwanza alinitongoza nikamkatalia, akashirikisha friends nikagoma, by then i had a person ambaye nilijua angekuwa mume wangu, but huwez kuamin aliniboa ghafla nikajikuta nimesitisha mahusiano yale ghafla nilitulia nikaendelea na kazi zangu manake niliona muda bado wa mm kuolewa. nikiwa mwaka wa 4 chuoni aliye mume wangu sasa hivi alikutana na mm na yeye alikuwa amekuja kuongeza jiwe tena,tulikuwa marafiki wa kawaida tu wala sikuwa na feelings zozote. nilipomaliza niliongeza jiwe la pili hivyo muda mwingi pia tukawa tunaonana. I dont know where does this love developed but tulijikuta anakwenda kutoa mahari kwetu. na mpaka leo we are mr &mrs leaving happy life. therefore usijali sana.
 
she is a good girl kuliko angekupanga kama mawe. just bless her na endelea na misha safi ya Kumpendeza mungu.
 
Back
Top Bottom