Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
Msibabaishwe na tetesi za watu wanaojisikia kupost chochote afikiriacho, kwani hata kama akiandika uongo na kupotosha jamii ajira zenu ziko palepale, watu kama hao hawakosi ktk jamii.
Ni haki ya mtu kuongea chochote kile ilimradi asivunje sheria ya nchi, lakini kwa mtu msomi anatakiwa aongee akiwa na evidence,
NB. Muavumilie hao waropokao, na wakitoa non_fuctual information waulizieni Source ya hiyo info.