Ushauri walimu

Ushauri walimu

Jean piaget

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
143
Reaction score
34
Msibabaishwe na tetesi za watu wanaojisikia kupost chochote afikiriacho, kwani hata kama akiandika uongo na kupotosha jamii ajira zenu ziko palepale, watu kama hao hawakosi ktk jamii.
Ni haki ya mtu kuongea chochote kile ilimradi asivunje sheria ya nchi, lakini kwa mtu msomi anatakiwa aongee akiwa na evidence,
NB. Muavumilie hao waropokao, na wakitoa non_fuctual information waulizieni Source ya hiyo info.
 
wakina nani..?

weka picha zao mkuu
 
nimependa jina lako aisee! Linanikumbusha mbali!
 
Wasipotoa leo unajua madhara yake? Unaweza kujua kwann watu wanapost anything? " viongozi"
 
Nimejaribu kuchunguza muda walipotoa posts za mwaka jana nikakuta ilikuwa j.mosi saa 01:02 na nyingine ilikuwa saa 20:46 sa sielewi inakuwaje leo.
 
Kuhusu leo ni factual information sababu ilikua officially kutoka TAMISEMI lakn tetesi zingine ambazo hazina source ni kujipresherize,
 
Chong chung muda siyo tatizo , post muda wowote zinapostiwa just consider date and not time
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom