Ushauri wana jamii

Ushauri wana jamii

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Nataka kuoa ila mwanamke nilienae pasua kichwa sana. Nafirikia nimiache nitafte mwingine ila nahisi sitawamaliza na huenda huyu ni afadhali ya huyo next. Tatizo kubwa la huyu ni kuwa hataki kuona niko karibu na wanawake wengine, yaani hata nimisalimiwa na mwanamke afu akaongeza na maneno mawili matatu basi kesi ni timbwili. Nimeshanunua sana vioo vya simu maana ndo anakimbiliaga kupasua simu yangu akiamini nachati na mademu. Sikai nae lakini usiku hata saa 7 unaweza skia mtu ananyata dirishani, mwanzo nilijua wezi nilipopiga doria nikagu dua ni yeye anakuja kwangu kusikiliza kama nimelala na mtu ndani. Mi nilizoea wale wa club one night stand ila kulingana na maisha nikaona niwe na wangu ila nachojionea ni kero tu.
 
Hakuna mkamilifu, tulia nae huyo huyo
 
Wewe mwenyewe ni tatizo zaidi ya hao au huyo mwanamke, yani mwanamke hujamuoa anavunja simu wewe unajisifia sijui kioo cha ngapi!! Huo ujinga na atakuchoma moto ili upate akili.
 
Back
Top Bottom