Ushauri wana jf pls

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Ndugu zangu wapendwa,niko mbali na familia yangu kutokana na shughuli za kikazi,mke wangu yupo nyumbani pamoja na watoto wangu 2 ,shemeji zangu wa kike na wakiume,nilikuwa home kwa pasaka,so nimekuja kubaini mke wangu na mdogo wake lao ni moja mwanaume wa mdogo wake huwa anamawasiliano na mke wangu na huyo shemeji yangu anadiriki kulala nje bila mke wangu kumkemea wakati yupo chini ya familia yangu at the same time nina kabinti cha std 6 anajifunza nn toka kwake.Baada ya kubaini hiyo tabia sijamuuliza chochote mke wangu.So wana jf nichukue hava gani?
 
Shemeji yangu wa kike huwa analala nje na at same time pale home yuko room moja na kabinti kangu
 
mpe maboko ya kutosha . Atakuja ku**lulu huyo. Aibu zinazoweza kuzuilika mkuu fanya hvyo maana uyo binti mdogo ataridhi huo upumbavu mkuu
 
She is about 21 yrs
Haijalishi ana umri gani, familia ni yako na wewe ndio unaamua maadili ya familia yako yaweje na watu wakiwa chini ya uangalizi wako wabehave vipi ili wasikuharibie malezi. Kinyume na hapo timua ili huyo mwanaume akamfaidi vizuri full time siyo part time!
BTW: Huyo mkeo kama mlishakubaliana kwamba rules za malezi kwa watoto wenu ni no sex before marriage na amekiuka mweke chini umwambie kwa mpango huo hamtofika popote kwenye maamuzi yenu.
 
She is about 21 yrs

aaaah chinga boy,usikubali nyumba yako kufanywa pango la kuishi kina lulu. huyo ni mtu mzima akajitafutie sehemu atakayokuwa anafanya mambo yake kwa uhuru. Kama hawezi kuheshimu sheria za hapo kwako.lolote litakalotokea utakuwa responsible,mfano aitoka night kali kaenda kulala kwa mwanaume halafu akamkanumba itakuwaje?
 
yaani namrudishwa kwao au akubali kutandikwa yeye na mke wote nawachanganya.
 
Nidhani mtu mzima ningekwambia akapange aondoke hapo,kumbe 21!. Kila nyumba ina taratibu zake, zungumza na mkeo, nyumba yenu inapaswa iheshimiwe, hapo sio hotel kwamba mtu anajiamulia alale au asilale, kama shemejio hawezi mwambie achape lapa, msije mfunza maadili mabovu mtoto....



She is about 21 yrs
 
Chinga boy can u tell me unataka ushauri ili umwambie mkeo au shemeji yako?
 
Kaka, mueleze mkeo juu ya madhara kwanza kwa mdgo wake abt afya na usalama wake, pia kwa mtoto wako kimaadili na kwenu lawama mtakazo weza kuipata akipata matatizo
 
Dawa ya moto ni moto, zaa na haus gel
 
Ongea na mkeo vile unataka familia inayokuzunguka kuishi usipomweleza anaweza kuona ni sahihi vinginevyo utakuja kumkunja samaki aliyekauka/mkavu
 
Kaka vunja ukimya, zungumza na mwenzio....mwambie ukweli about what her young sister is doing and tell her openly that its dangerous for her health and bad enough dangerous to all of you as a family. Lakini pia mtoto wenu ataiga mambo ya mama yake mdogo. Halafu kama mdogo wake anafanya hivyo na hajamkemea....napata wasi wasi na tabia yake before marriage....pengine kwao ni utamaduni mzuri mwanake kulala nje ya kila anapoona inafaa kufanya hivyo...jaribu kumuhoji vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…