Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 103
Ndugu zangu wapendwa,niko mbali na familia yangu kutokana na shughuli za kikazi,mke wangu yupo nyumbani pamoja na watoto wangu 2 ,shemeji zangu wa kike na wakiume,nilikuwa home kwa pasaka,so nimekuja kubaini mke wangu na mdogo wake lao ni moja mwanaume wa mdogo wake huwa anamawasiliano na mke wangu na huyo shemeji yangu anadiriki kulala nje bila mke wangu kumkemea wakati yupo chini ya familia yangu at the same time nina kabinti cha std 6 anajifunza nn toka kwake.Baada ya kubaini hiyo tabia sijamuuliza chochote mke wangu.So wana jf nichukue hava gani?