Ushauri wana jf uanzishaji wa kampuni.

Ushauri wana jf uanzishaji wa kampuni.

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
1,038
Reaction score
1,623
Salaam kwa wana jf wote,Licha ya kupitia nyuzi mbalimbali za uanzishaji wa kampuni nimeambulia kuelewa hatua za kufuata na nn kufanya kupata kampuni yako.

Ningependa kujua yafuatayo.
  1. Aina ya kampuni ni kampuni binafsi yani mm ndiye mkurugenzi mtarajiwa,Hakuna hisa nitaanza mwenyewe na wasaidizo kadhaa itapokuwa kubwa mungu akijalia nitakaribisha hisa.Je nitahitaji kuorodhesha shughuli zote za kampuni yangu katika usaji?
  2. Vipi kama kampuni yangu ikijihusisha na shughuli ambayo sijaibainisha itachukuliwa hatua gani?sina lengo hili ila napenda kujua ili ikitokea waajiliwa wangu wamehusika nijue nini kinafuata.
  3. Ili kampuni ifanye multifunction mfano itoe huduma za civil engnearing pia iwe na maduka mikoa tofauti yasiyohusu civil work nitahitaji usajili kila mahali napofungua shop au naweza kutumia taarifa zile za kampuni kulipa kodi kila napofungua office(jiji au halmashauri)
  4. Naweza kuwa na kampuni inayofanya kazi idara tofauti mfano usafirishaji na ujenzi ikatumia jina moja nililopendekezeza Brela.
Nahitaji sana maoni yenu ya kisheria na ya kibiashara.
 
ukiona wachangiaji hakuna jua hujaeleweka mara uzungumzie hisa, kukushi.......

kwa ufupi Anza mchakato wa Kufungua iyo kampuni Mambo mengine utayajulia huko mbele ya safari....。黄飞鸿 轼 Anza na company Ila Kama upo vizuri kifedha fungua ltd tambua ni mchakato Sio jambo la kuanza asubuhi na kumaliza jion
 
Back
Top Bottom