smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
Wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op.
Nashauri wakuu ndani ya JWTZ wafanye selection, wachague vijana sita au saba 7 ambao ni the best of the bes ndani ya jeshi, wakibidhiwe jukumu la kwenda kumuokoa mtanzania mwenzetu. Kwanini sita au saba? NI kwasababu mission kama hizi hazihitaji watu wengi.
Sio lazima umma ujue, jeshi linaweza likaendesha operation hii kimyakimya halafu sisi raia tukapewa mrejesho baada ya mission kukamilika.
Mossad, CIA na MI6 washapiga sana michongo kama hii. rejea the entebe rescue operation july 4,1976. Mossad walipiga tukio kubwa sana pale Uganda ambalo limebaki kama 'desa' kwenye ulimwengu wa medani.
NB: Mission za namna hii hazihitaji wavulana, kwa maana hiyo jamaa zangu wavaa kaunda suti pale makumbusho kwa kushirikiana na jeshi la polisi nyinyi endeleeni tu ku-neutralise threat ndogondogo zinazotishia usalama wa ndani ya nchi sambamba na kuhakikisha 'chama' kinaendelea kusalia madarakani.
Ni ushauri tu.