Ushauri wangu kuhusu mustakabali wa Elimu zama za COVID-19

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Habari. Chukua hatua, jikinge na maambukizi.

Baadhi ya Maswali Magumu:
1. Mitihani ya kitaifa itafanyika lini?

2. Wa kujiunga na kidato cha tano wajiunge lini?

3. Wa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu itakuwaje?

ongezea hapo maswali mengineyo.


Ufumbuzi:
1. Computerized educational measurements. NECTA wahamie kidigitali. Wawe wanatoa mitihani kidigitali, zaidi ya mara moja kwa mwaka.

2. Mamlaka husika zisajili shule ambazo ni 100% online.

3. Bodi ya mikopo itoe mikopo hasa (hata) kwa wanafunzi wasomao 100% online Chuo Kikuu huria au vyuo vingine, iwapo hilo bado halifanyiki.

4. Muhimu kuliko yote: Utoaji elimu na upimaji wa elimu unaotolewa uwe ni asynchronous, demand-driven, nyumbufu, not one-size-fits-all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…