Salaam wakuu...
Pamoja na pongezi zilizotolewa kwa serikali juu ya uamuzi wa kuwasaidia wanandoa waliopo mbali kuishi pamoja, Nina ushauri kutokana na baadhi ya waajiri kutokuwa waaminifu kwa waliopo chini Yao.
Ili mtumishi ajue taarifa zake zimefika wizarani ni vema kwenye mfumo wa ESS kukawa na taarifa inayoonyesha kupokelewa kwa taarifa za mtumishi wizarani. Sio mara moja imeshuhudiwa baadhi ya waajiri kuficha au kutotuma taarifa za watumishi katika ngazi husika mwisho mtumishi anashindwa kupata haki yake.
Hata hizi taarifa za uhamisho zilizotumwa kwao,baadhi wanaweza kutozituma wizarani kwa sababu wanazozifahamu wao.
Kuna maafisa utumishi katika badhi ya halmashauri wamekuwa kama miungu watu na hawaogopi kudhulumu haki za watumishi.
Ili haki itendeke nivema kila aliyetuma taarifa zake kwa usahihi zifike sehemu husika.Pia ili kuonesha uwazi ilitakiwa waajiri watume mikeka kuonyesha majina ya watumishi waliotuma taarifa zao na usahihi wa taarifa hizo ili kama Kuna marekebisho yafanyike kabla zoezi halijafungwa .
Ni hayo tu