mnunity
Member
- Jun 16, 2024
- 8
- 7
Ushauri wangu kwa CHADEMA hamna anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kati ya hao wawili kwa sababu zifuatazo ambazo zote zinanufaisha chama cha dolla
1.)Mmoja ni mropokaji hajui eneo lake kwa kiswahili kizuri anatumwa na hisia na sio rational atakiingiza chama kwenye chaos na kitakuwa hakina makali ya kusumbua dolla
2.Huyu mwingine akichukua tena kwa mara nyingine uongozi kwa lengo la kusema bado anataka kukijenga chama aibu yake wakati wa kufukuzwa ni kubwa na yeye atakigawa chama katikati na ni rahisi kwa upande wa tatu kusema hichi chama cha CHADEMA ni cha mtu na kinamshibisha pekee yake kwaiyo ni rahisi kuvunjika
Kwa ushauri CHADEMA (M4c) watafute mgombea mwingine nje ya mzunguko na hao wawil wabaki kama washauri wa experience kwa mwenyekiti mpya na waelewe kabisa saiv nchi ina wanafiki wengi ni ngumu kumpata mwenye intention ya kwel ambae atakivusha CHADEMA kuelekea kwenye chama cha siasa kinachoweza kujenga nchi