Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Well, well, well…..kama nilivyotarajia, maandamano ya jana yalibuma.
Hakukuwa na jipya. Kujua kwamba maandamano yangebuma ilikuwa ni sawa na kutabiri kuwa wiki ijayo, kuanzia Jumatatu hadi Jumapili, jua litachomoza walau mara moja kama si zaidi.
Watanzania sisi ni watu waoga sana. Si ajabu ndo maana hata kwenye kupata uhuru hatukumwaga damu.
Tungekuwa tayari kumwaga damu, nadhani tungeweza kupata uhuru kabla ya mwaka 1961.
Mapema mwaka huu nilianzisha mada ya ushauri kuhusu njia za kutumia kushinikiza mabadiliko.
Nilishauri kuwa kuwepo na njia mbadala ya maandamano.
Nilipendekeza civil disobedience na passive resistance.
Kwa kutumia njia hizo, hakutakuwa na hofu ya kupigwa virungu wala kumwagiwa upupu.
Nchi nzima watu wakigoma hata kwa siku mbili tu Rais Samia ni lazima atashika adabu yake.
Rais Samia, CCM, polisi, na wale makomandoo wa JW hawawezi kufanya chochote peke yao bila sisi.
Kwenye maandamano watawatisha na yale magwanda yao na vile virungu vyao.
Kwenye migomo hawana uwezo wa kutembea nyumba hadi nyumba na kuwalazimisha watu waende kazini na hawawezi wakafukuza wafanyakazi wote.