Ushauri wangu kwa Eric Omondi

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji85] [emoji85] [emoji95] [emoji91] [emoji35] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji85] [emoji85] [emoji95] [emoji91] [emoji35] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hata Brain Deacon alimwigiza Yesu, so sioni tatizo kwa Omondi.
Ninacho mshauri, aongeze lishe. Jamaa ni slim mno hadi anaogopesha.

Huo u slim wa hivyo wengine tunaulilia hatuupati, all in all mwili wa hivyo ndio mpango mzima mkuu. Kuhusu ku act that way ni kweli it's a detriment kwa Imani za watu wengine coz itachukuliwa kuwa anadhihaki
 
Kweli kabisa tusifanye dhihaka kwenye imani kuleta dhihaka kwenye imani kunaleta chuki tena chuki mbaya Sana kila mtu aheshimu imani ya mwengine iwe ukristo uislam hindu budha n.k mi ni Muslim ila cjapenda omondi ilivyofanya
 
Siku Za mwisho watu watakua wenye kudhihaki. Ngoja adhihaki maandiko yatimie
 
i can see radical Christians at their best,well,thats okay,ila mbona dini nyingine wakiwa wanawasumbua na kuwakejel innocent Christians mnakaa kimya?hawa wafuga ndefu na usumbufu wao kwa nini mnakaa kimya?Mwacheni Omondi wa kumhukumu ni Mungu,sio nyie.
Above all thanks you Kenyan kwa good shows za stand up comedy,mpo safi kwenye sekta hio.Hapa kwetu Tz nasema hakuna msanii anayewafikia hata robo.Keep it up
 
Please refer heading
 
Kwa wengine hii kitu inaweza ikaonekana sahihi mpaka ile siku atakapogusa upande wao ndio akili itawakaa vizuri.
 
Eric kashadata tayari maombi yanaitajika sana kwa Eric.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Vizuri kabisa, tatizo kuna watu humu na issue zao are very complicated, wamekomaa kukosoa mara dini sijui imefanyaje wakati hawajaishika hiyo dini ni wanafiki, malaya, wachawi tu, pili omundi hajakashifu chochote
Ila mi naona kulikua na maigizo mengine mazuri tu zaidi hata ya hili alofanya
 
Ifike mahali tuheshimu dini za watu hata kama hazituhusu,,,..
 
Enyi watz mkajishughulishe na matatizo yenu.
Hao wachawi wenyu sijui Mishana jr. na wapumbavu wenzake et al wakatafute kazi ya kufanya.
Wengine wenyu kujikomba na udini utadhani ni waanzilishi wa hizo dini za wazungu na waarabu,wengine utadhani watakatifu...mnajiaibisha tu tena mbele ya kadamnasi,yetu hayawahusu watz, kamtafuteni Diamondi mkamseme seme.
Hii rizki ya mtu ,haiwahusu ndewe wala sikio.
 
Kama huna cha kuandika bora ukae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…